Intrenational Promotion Through Sports yatembelea Chuo cha Malya

Mkurugenzi wa Taasisi ya International Promotion Through Sports kutoka Brazil Bw. Paul Pan ametembelea Chuo cha Maendeleo ya Michezo cha Malya mkoani Mwanza ili kuona ni jinsi tasisi hiyo itakavyoshirikiana na Serikali kukiboresha chuo hicho. Bw.  Paul amefanya ziara hiyo Juni 24, 2021 kufuatia mazungumzo ya Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent